House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/=x3
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA YA CHINI NDIO INAPANGISHWA
‼️ INAYOPANGISHWA NI YA CHINI KABISA SIO GOROFANI
BEI NI 400,000/=x3
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Contact
0652472014