House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
BANGALOO LA KISASA INAPANGISHWA NA LIPO SEHEMU NZURI SANA BEI NI 1,000,000/= X 6 (MILIONI MOJA KWA MWEZI)
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA YAPO AINA MBILI JIKO LA NDANI NA JIKO LA NJE
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#GARDEN NZURI YENYE SEHEMU YA KUPUMZIKIA
BEI NI 1,000,000/= X 6
PIA KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA MASTER NA JIKO KUBWA LA NJE
๐น๐ฟ JUMBA HILI LA KISASA LIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Piga. 0692198834 Whatsapp
0716938128