House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 18/07/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA
BEI NI 500,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI
#DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN NZURI
#ZIPO APARTMENT 4 KWENYE FENSI MOJA
BEI NI 500,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPOv KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU ( NI DK ZA UKWELI KABISA) NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 18/07/2024
CONTACT: 0672 673363