House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA BADO KUMALIZIWA TIRIZE NA KABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PRKING KUBWA YA KUTOSHA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI HII NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 450,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII NZURI YA FAMILIA IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1. NA BARABARA NIA RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI