House for rent at Makongo, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa
Mahali :Makongo mwisho
Nyumba ina vyumba viwili kimoja master
Seble na chumba cha jiko
Choo cha wageni
Umeme inajitegemea
Bei: 600,000/=
Muda wa malipo ni mienzi 6
Gharama za kuona nyumba ni 20,000/=
Bila kusahau malipo ya mwenzi mmoja kwa dalali
dalali_biggy_sinza
Call:0657839288
Whaataap:0786348533