House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(250,000 × 4,5,6) MBEZI KWA MSUGURI
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 10 TU KWA MIGUU
KUTOKA MOROGORO ROAD DAKIKA 6 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI LENYE MAKABATI
STORE
PUBLIC TOILET NDANI
PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZURI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 250,000 X4 MPAKA 6
MTEJA AKILIPIA ANAPEWA SIKU TANO WAWEKE TILLES VYUMBANI
NAKUPIGA RANGI NYUMBA YOTE
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300