House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


:
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
IPO MBEZI MWISHO KITUO MSIGANI UMBALI WA DK 10 TU KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA DALADALA MBEZI MWISHO
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
====================
SIFA ZAKE
• SEBULE KUBWA
• CHUMBA KIMOJA CHA KULALA KIKUBWA
• JIKO ZURI KUBWA
• CHOO KIZURI NDANI
ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
BARABARA NI RAFIKI KWA GARI YA AINA ZOTE
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0716 776247
0754 221168