House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


IPO WAZI SASA UKILIPIA UNAAMIA
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI YA MAGARI SABA/ CHUO CHA ST JOSEPH
DISTANCE:
DAKIKA 13 KWA MIGUU KUTOKA STEND
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 500,000 X 3
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087