House for rent at Bagamoyo, Mbeya


KWAAJILI YAKO WEWE NYUMBA HII SIO YA KUKOSA
.
■NYUMBA IPO BAGAMOYO(SANZALE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI YA EAGLE).
■□INA SEBULE ,SITTING ROOM KUBWA,DINNING ROOM.
□■ NYUMBA INA VYUMBA VINNE4 KIMOJA MASTER ROOM NA STORE MOJA1
■□JIKO KUBWA LA KUJIMWAGA PAMOJA KABATI ZA KUWEKEA VYOMBO.
_________________________________
¤MALIPO YA NYUMBA KWA MWEZI NI LAKI MBILI NA NUSU(250,000).
¤¤ TERMS ZA MALIPO NI KUANZIA MIEZI 2 .
¤NYUMBA INA PARKING KUBWA YA MAGARI ATA MATANO.
¤NYUMBA INA MADILISHA YA VIOO TILES,FAN KILA CHUMBA HADI SITTING ROOM INAFANCE NA GATE.
__________________________________
SERVICE CHARGE >15,000/=
MALIPO YA UDALALI WA KUPATA NYUMBA >> 250,000/= (MALIPO YA MWEZI MMOJA).