House for Rent at Bara, Songwe
Kiwanja Sqmt 1434 kimekamata Bara Bara kuu ya mtaa Kinauzwa milioni 48 maongezi yapo 📍Kipo *Kibaha maili moja stendi ya mkoa*
- Karibu na (*Hotel DALLAZ OF THE HEART KIBAHA TOWN*)
◇Viwanja vilivyopo hapo vyote viliuzwa na HALIMASHAURI YA MJI WA KIBAHA
◇Kiwanja kipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana
◇Ukubwa wa kiwanja ni sqmt 1434 Document : clean TITLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
◇Kiwanja kinafaa kuishi au kujenga nyumba za apartments kwajili ya kupangisha
◇Umbali mita 300 tu kutoka Morogoro road Na kutoka stendi ya mkoa ni mita 700 tu
◇(Noted): Ukishuka kutoka stendi mkoa unatembea tu
◇ *Bei Tsh milioni 48 maongezi yapo*
0679447338
0753454167