House for rent at Bonyokwa, Dar Es Salaam


450K X6 NIMESHUSHA BEI BILA YA HURUMA 
STAND ALONE NZURI SANA NA MPYA KABISA INAPANGISHWA 
LOCATION BONYOKWA MWISHO 
UMBALI KUTOKA KITUO CHA DALADALA NI DK.5 KUTEMBEA KWA MIGUU 
KODI NI TZS 500K X6 
SIFA ZAKE๐
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET YA NDANI NA STORE YAKE KUBWA 
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM , UMEME NA MAJI YAPO 
MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI MASAA YOTE RESERVE TANK IPO
PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS ๐ซ 
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA KABLA HUJACHELEWA 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI TZS.20000 
UKIIPENDA NYUMBA NA UKILIPIA UTAMPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA 
CONT ๐
0655256419




















