House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
Sh. 100,000 per sqm
Project
Yes

SWIPE LEFT ➡️ UONE VIWANJA VYETU VIZURI

BUNJU BEACH, Bunju ambayo upepo unavuma kutoka baharini moja kwa moja ambayo ipo juu.

➡️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➡️ Hapa tumepima viwanja 17 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

➡️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan bunju beach wengi mnaijua kwa kupangika.

➡️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➡️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➡️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

𝗕𝗘𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗘

Hapa tunauza sqm 1 kwa 100,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 45MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 446 mpaka sqm 875.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa mwezi 1, utaanza na 80% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya mwezi 1 tu.

𝗨𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗝𝗘𝗖𝗧 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani uwanja wa simba road.

𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗘 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu 𝗧𝗘𝗩𝗜 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗥𝗖𝗜𝗔𝗟 𝗣𝗔𝗥𝗞(𝗶𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗡𝗕𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗞), 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗞𝗜 𝗕𝗢𝗩𝗨 - 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

📍NYUMBA NZURI SANA 🏘️🏡 INAPANGISHWA: IPO BUNJU B (DAR ES SALAAM)INA VYUMBA VIWILI VYOTE MASTER SE...

3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🌟 STAND ALONE KALI SANA – BUNJU B 🌟DAR ES salaam Tz🏡 Nyumba iko ndani ya fensi – full privacy!📍 ...

3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🌟 STAND ALONE KALI SANA – BUNJU B 🌟🏡 Nyumba iko ndani ya fensi – full privacy!📍 Location: Bunju ...

House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

Nyumba inapangishwa apartment CHUMBA MASTER SEBLE NA JIKO Location bunju b Kodi 150000 kwa mwezi Mie...

House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

Nyumba inapangishwa apartment CHUMBA MASTER SEBLE NA JIKO Location bunju b Kodi 150000 kwa mwezi Mie...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

21/7/2025Nyumba inapangishwa apartment 8Location bunju b Kodi 300,000 kwa mwezi Miezi 3 au 6Ipo ndan...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba inapangishwa apartment 8Location bunju b Kodi 300,000 kwa mwezi Miezi 3 au 6Vyumba 2 kimoja m...

📍NYUMBA NZURI SANA 🏡🏘️ INAJITEGEMEA INAPANGISHWA: IPO BUNJU B (DAR ES SALAM)INA VYUMBA VITATU VYO...

4 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

Nyumba inapangishwa inajitegemea stand alone Kodi 600,000 kwa awazi Miezi 4 au 6Vyumba 3 kimoja mast...

House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

Nyumba inapangishwa apartment CHUMBA MASTER SEBLE NA JIKO Location bunju b Kodi 150000 kwa mwezi Mie...

1 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

🌟 CHUMBA, SEBULE & JIKO — NDANI YA FENSI! 🌟📍 Bunju B, Dar es Salaam🛏️ Muundo wa Nyumba:• Chumba ...

House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

Nyumba inapangishwa apartment CHUMBA MASTER SEBLE NA JIKO Location bunju b Kodi 150000 kwa mwezi Mie...

House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

Nyumba inapangishwa apartment CHUMBA MASTER SEBLE NA JIKO Location bunju b Kodi 150000 kwa mwezi Mie...

3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

20/7/2025Nyumba inapangishwa inajitegemea stand alone Location bunju b Kodi 500,000 kwa mwezi Vyumba...

2 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🌟 STAND ALONE KALI SANA – BUNJU B 🌟🏡 Nyumba iko ndani ya fensi!📍 Location: Bunju B🛏️ Vyumba 2 (...

2 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🌟 STAND ALONE KALI SANA – BUNJU B 🌟🏡 Nyumba iko ndani ya fensi!📍 Location: Bunju B🛏️ Vyumba 2 (...