House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







TAREH 19/10/2025 NYUMBA INAPANGISHWA STAND ALON DAY ES SALAM TZ
MAHALI BUNJU B KIHARAKA
NYUMBA YENYE VYUMBA V3 VYOTE MASTER
SEBULE DINING PABLC STOO JIKO MAJI UMEME FENS GET PEVA ALUMINIAM
BEI TSH LAKI 4 KWA MWENZI
MFUMO WA MALIPO MIEZ 6
KUTOKA BAGAMOYO ROD MPAKA KWENYE NYUMBA KILOMETER 2
MAWASILIANO YETU YA piga simu O745010009 au 0742707023
UDUMA YA KUONA NYUMBA ELFU 30