House for rent at Bunju, Dar Es Salaam


Nyumba ya gorofa inapangishwa ipo bunju B nyumba ina vyumba vinne vyote self ipo njia ya kwenda shule ya moga inatazama lami mita 700 kutoka bagamoyo road bei 1500000 maongezi yapa nipigie kwa namba 0713418477 mteja anatoka tarehe kumi kuona inaruhusiwa service charge 20000 nyumba bado mpya zingatia ukilipa nyumba unatoa kodi ya mwezi