House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Bado *moja* tu 👌 Ni Appartment ya familia yenye sifa zifuatazo:
#Vyumba (2) vya kulala
#Sebule yenye A/C kubwa
#Jiko lenye makabati ya vyombo
#Choo cha public
#Balcony nyuma na mbele
#Master bedroom yake ina Choo cha kukaa
#A/C na makabati ya nguo
#Chumba cha pili pia kina makabati ya nguo #Madirisha ni ya vioo
#Finishing ya kisasa kabisa
#Inajitegemea LUKU yake na Mita ya Dawasco
#Bei ni TSH 500,0000/= kwa miezi (6)
Apartment hii ipo #MBEZI_MWISHO_NJIA_YA_GOBA mwanzoni kabisa na kutoka GOBA ROAD hadi kwenye nyumba haizidi dakika 5 mpaka 8 upo ndani kwa miguu
#ULINZI CCTV
#Mlinzi mwenye silaha(usiku na mchana)
#Usafi wa nje na bustani + public toilet ya nje
#Kuondoa taka ni Bureee kabisa!
Karibu sana ndugu mteja
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300