House for rent at Goba, Dar Es Salaam


✅ Apartments za kupangisha,moja ndiyo ipo wazi ya juu.
✅ Inavyumba viwili vya kulala, kimoja master, seble kubwa yenye open kitchen pamoja na toilet public
✅ Air condition available
✅ Nyumba ipo goba njia nne kituo mageti au njia ya mbezi to Goba kituo mageti.
✅ Maji dawasa yapo... umeme pamoja na Maji ni luku Yako mwenyewe.
✅ Kodi kwa mwezi laki sita na nusu.malipo miezi sita.
Note:Kodi ya mwezi mmoja wa dalali italipwa na mpangaji.
✅ Nyumba zipo umbali wa Mita 💯 kutoka lami, barabara safi Hadi kwenye Nyumba.
✅ Service charge 20000
Piga 0719190753