House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 300k đźŹ
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba (Kinzudi)📍
• Chumba Kimoja Ni Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Full Air Conditioner✅
• Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
• Umbali Kutoka Barabarani ni Boda Buku✅
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 300k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Nyumba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/WhatsApp📲