House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA;
#CHUMBA_MASTA_SEBULE_NA_JIKO
๐งLocation ::GOBA NJIA YA MADALE
๐งBei :: Tsh 400,000 kwa Mwezi (#Miezi_6)
Muundo wa Nyumba;
๐Chumba kimoja ambacho ni Masta
๐Sebule Kubwa
๐Choo cha Public
๐Jiko lenye Makabati
๐Feni
๐Umeme wako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470