House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba viwili Vya kulala Kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa pia zuri sana
Nyumba ipo goba kontena kutoka lami dakika 3tu umefika
Bei laki 800,000
kwa mwezi kodi miezi6 tu
Huduma maji dawasco umeme Mita yako unajitegemea
Nipigie
0693460720 wassp