House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Apartments hizo zinapangishwa mpya Kali sana, Ina vyumba viwili vya kulala
2 bedrooms
#masterbedroom1
#sebule_kubwa
#publictoilet
#kitchen
Ipo GOBA Mbezi Road (Kwa Robert) , Umeme na Maji (dawasco) unajitegemea
Bei ni Laki Tatu na Elfu hamsini (TSH.350000) TU.Ila Mazungumzo yapo wewe njoo uongee na boss
Contacts; 0714539608