House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba Mpya: Master bedroom, Sebule na Jiko 300kđźŹ
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba center📍
• Chumba Kimoja Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Ipo Karbu Na Barabara
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 300k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲