House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT Inapangishwa:
Location :: Goba La Stanza - Dakika 1 na Lami
Bei yake :: 700,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vitatu (vyote ni Masta)
🌡️Sebule kubwa sana
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Call/Whatsapp;
0714539608