House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA;
Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MAGETI IPO KARIBU NA BARABARA KABISA
Bei Yake :: 650,000 Kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
๐Vyumba Viwili ( kimoja ni Masta)
๐Vyumba vyote vina makabati
๐Sebule & Dinning
๐Jiko kubwa Lina Makabati
๐Choo cha wageni
๐Fans & Air Conditions
๐Fence
๐CCTV Camera
๐Motor Gate
๐ Full Airconditioners
Call/ Whatsapp;
0783558470