House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA GOBA MAGETI
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 20,000/=
Kodi 500,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach ๐น๐ฟ