House for rent at Goba, Dar Es Salaam
✍️NEW APARTMENT_FOR RENT
📍LOCATION; GOBA KINZUDI( MAGOROFANI)
SIFA ZA NYUMBA
📌2 Bedrooms (1 Master Bedroom)
📌Sitting Room
📌Public Toilet
📌Kitchen ( Makabati)
📌Stand alone ( Mpangaji mwenyewe)
📌Sehemu kubwa ya nje unaweza kujenga mabanda ya kuku au bustan kubwa
📌Boda Boda toka Kituo cha dala dala( Kinzudi) 1,000/=Tsh
📌Nyumba Haina Fensi ila Usalama 100% Mana Ni mtaa wa kishua sana
KODI NA UTARATIBU WA MALIPO
📌Kodi 400,000/=Tsh Kwa Mwezi
📌Muda wa malipo miezi 3
📌Service charge ni 20,000/=
MAWASILIANO
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
__