House for rent at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO TATU TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA MPYA KABISA UNAZINDUWA MWENYEWE
BEI NI 350,000/= X 6
ILIPWE LAKI 3NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO GOBA ROAD
ENEO..KWA ROBATI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0710614924
0688653940