House for rent at Goba, Dar Es Salaam


15th February 2024-------------Chumba master sebule na jiko
Ni mpya
Location goba kituo kanjibari
Kutoka main road ni dakika 5
Maji dawasco
Luku ya kwako
Nyumba zitakuwa tiyali tarehe 30 mwezi huu
Kodi laki 400,000 kwa mwezi, malipo kuanzia miezi 6
Kwa muhitaji piga simu
0758 572 334
0716 407755