House for rent at Goba, Dar Es Salaam


:
APARTMENT MPYA APARTMENT ZA KISASA ZINAPANGISHWA
APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
APARTMENT HIZI MPYA ZIPO NJIA YA KUELEKEA GOBA (BARABARA YA GOBA ) KITUO KWA ROBART
KUTOKA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BODABODA UPO WA KUTOSHA
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO IMEBAKIA
#GARDEN NZURI
# PAVING BLOCK
💥MAFUNDI WANAENDELEA NA UBORESHAJI WA RANGI NJE TUU
BEI NI 450,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168