House for rent at Goba, Dar Es Salaam


17
STAND ALONE BUNGALOW INAPANGISHWA
SIFA ZAKE:
✓ 3 bedrooms, 2 masters
✓ Sitting room kubwa
✓ Jiko
✓ Public toilet
✓ Private luku
✓ Private water meter
✓ Maji yanaflow ndani
✓ Fence
✓ Parking space kubwa
✓ Full AC
KODI:
800,000/= Tsh kwa mwezi, malipo kwa miezi 6
LOCATION:
Goba mageti, Dar es salaam, umbali wa kilomita 1.2 from main road
SERVICE CHARGE:
15,000/=Tsh kuoneshwa nyumba au kodi ya mwezi mmoja biashara ikifanyika
|| 0694 075 761
.
.
.