House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Apartment for rent
Zipo Nyumba 2 kwenye compound
Ni vyumba vitatu vyakulala sebule dinning jiko
Vyumba vyote vina Air-conditioned
Kutoka main road dk 4 Kwa miguu
Location: GOBA TRIPLE vituo vitatu kabla
Kufika goba centre, ukitokea Mbezi beach Masana hospital
Bei:LAKI 800000/=
Malipo kuanzia miezi 3
Call Whatsapp
0719523533
0748887892