House for rent at Kariakoo, Dar Es Salaam


HIi apartment ipo kariakoo
RUMUMBA
Ipo floor ya 5 lifth ipo generetha
Ni chumba kimoja KIKUBWA
AMBACHO NI MASTER bedroom
Jiko ni full fanish
Inapangishwa laki 8 Kwa mwezi Kodi Mwezi Mmoja
Apo hapo Kuna chumba viwili vyote ni master bedroom kubwa
Sebule jiko bei ml 1na 3
Kwa mwezi Kodi Mwezi Mmoja moja
Mawasiliano _0716938128_0692198834