House for rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI YA WAYA PARKING YA KUTOSHA ULINZI WA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0652 508128
0753 989554
====