House for rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 28/04/2024 KUONA MALIPO RUKSA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE WASTANI
#JIKO ZURI KUBWA
#CHOO CHA NDANI
#HAKUNA MASTER
#PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU NA MITER YA MAJI UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 15 - 20 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI (500) UKISHUKA DK 4 UPO GETINI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300