House for rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#BALAZA KUBWA YA KUPIKIA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.