House for Rent at Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 11/11/2024 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO ANAHAMA JIONI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 12-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
0715949085
0782838336