House for rent at Kati, Arusha


APARTMENT FOR RENT ###600K
----------------------------------------------
NYUMBA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA IPO KATI YA KIMARA KOROGWE NA KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 8 KUTOKA MOROGORO ROAD.
NYUMBA IPO WAZI MPANGAJI KASHATOA VITU RUKSA KUONA NA KULIPIA.
SIFA ZA NYUMBA =
VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINING TABLE
PUBLIC TOILET ( ZIPO MBILI )
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
STORE
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PAVING BLOCK
-----------------------
KODI NI LAKI 600,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
----------
NYUMBA NZURI KUBWA KWA FAMILIA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI DAWASA YAPO 24 HOURS NA KUNA REZEV TANK.
CONTACT
NO ..
WSP..