House for rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE FENSI KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO CHA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI BUSATANI SAFI
#HITER MAJI MOTO
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 500 BODA BUKU UKISHUKA TU NA BAJAJI UNAPIGA ODI GETINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZII
NOTE
ELA YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SERVICE CHARGE 15000
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
0627977383
MR ROONY TZ