House for rent at Kati, Arusha


HIZI NYUMBA ZIPO NNE KWENYE FENSI MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 20/06/2024 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO CHA FAMILIA NDANI
#LUKU YAKO
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY , GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 10 -15 KWA MIGUU BODA BUKU TU MPAKA GETTINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA UNAMLIPA DALALI ELA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM CHAPU
0773700963
0753989553
=====