House for rent at Kawe, Dar Es Salaam


Mzigo huo 270,000/=kwa Mwezi
Vyumba viwili
Gurden Safi
Ofaaaaaa ofaaaaaa
Beba pesa
Pantakiwa mtu mstaarabu
Nyumba inajitegemea umeme na maji
Parking kubwa
Mazingira ya kishua
anatakiwa singo /au mtu na mke pow
Location, kawe kanisani DK 3 lami
Call, WhatsApp
0756455653
0682778500