House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kibamba Chama, Njia ya kwenda Mloganzila Hospital
🕑1km Kutoka Morogoro Main Road Mpaka Hapo. Usafiri wa dala dala toka Makumbusho Zipo mpaka hapo.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Viwili, Kimoja Master
🔹Sebule kubwa
🔹Jiko Kubwa
🔹Choo cha familia
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Fenced Car Parking
👉Ziko Apartment 2 tu Kwenye Compound na hii moja ndio Iko Wazi
🔶Kodi Tsh 250, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 250, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊