House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (MASTER)
# NA CHOO CHA NJE PUBLIC
#LUKU UNAJITEGEMEA
BEI NI 120,000/=X 4
ILIPWE LAKI 1NA 20 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4
🏘️APARTMENT HII IPO KIBAMBA HOSPITAL UPANDE UMBALI WA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA simu/06 59 33 67 51
Wsp/07 86 08 56 37