House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







KIBAMBA CCM
APARTIMENT NZURI ZINAPANGISHWA KODI TSH 500,000X6
INA NYUMBA 2 VYA KULALA
SEBULE
DINING
NA JIKO
INA MASTER NA PABLIC
NYUMBA NI MPYAAA!!!
APARTIMENT HIZI ZIPO 6, KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI KWA MWEZI LAKI 5 MIEZI 6.
ZIPO KIBAMBA CHAMA KUTOKA BARABARA KUBWA NI NUSU KILOMETER BARABARA IMEPIGWA LAMI
KUTOKA KWENYE LAMI HADI KWENYE NYUMBA DAKIKA 4
SERVES CHARGE 15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258