House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


(350,000 × 3) KIBAMBA SHULE
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #350K
==
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
==
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 3
==
Umbali dakika 3 Tu Kwa mguu toka kituoni
==
Ndani ya fence parking kubwa, kila Apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300