House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM NA JIKO INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
chumba master bedroom kubwa na jiko
Bei:100,000 kwa mwezi x 6
Kila apartiment Inajitegemea umeme(Submeter wawili)
na Maji Dawasco yanaflow chooni na jikoni
Ndani ya fence parking ipo kubwa
Umbali KM 1.3 Kutoka kituoni Usafiri bajaji zipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
What saapp number 0689-547258