House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


——
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #200K
=====
Chumba cha kulala sebule jiko na Choo ndani
====
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 3
===
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon,ndani ya fence parking ipo
===
Dakika 10 Kwa mguu toka kituoni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja