House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE (300,000 × 6)
==
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko kubwa lenye makabati na public toilet
==
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
==
Umbali dakika 5 Kwa mguu toka kituoni
==
Ndani ya fence parking IPO na kila Apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
==
Contact:
0654101710
0787205300