House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







*#APARTMENT ZINA PANGISHWA KIBAMBA HOSPITAL UMBALI KM 1.3*
PIKIPIKI 1000 MPK GETINI
------
Sebule
Chumba
Public toilet Ndani
Jiko Kubwa La Makabati
Slide window
Maji yana flow
Luku Yake
Fensi kubwa na Peving Block
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
*Kodi 200,000/=×3 / 2/1
---------
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI