House for rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


#NYUMBA INAPANGISHWA KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)
■location; Kigamboni, DARAJANI
》Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO, (zuri,Safi)
✓ nyumba IPO ndani ya fensi, unajitegemea umeme na (maji) , nyumba nzuri, mazingira mazuri Sana, nyumba haijakaliwa Sana,
》Jirani sana na barabara unaweza kutembea Tu, au kupanda boda buku tu
●Asking price; laki Moja na themanini TU (180,000k) per month + mwezi mmoja wa dalali_smart_kigamboni
Mawasiliano
#0712956926
#0695026949
#appartments#realestate#gainwithxtiandela#gainwithbundi#gainwithmtaaraw#NguvuMoja#wasafitv#dalali_mfupi#dalali#gainparty #realestateagent#realestateinvesting101