House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,500,000
Project
Yes

USIKUBALI KUKOSA NA HIVI. MRADI UPO KIGAMBONI KIMBIJI KIDAGAA Center. Ni Mita 200 tu Toka Barabara kubwa ya Kimbiji, pia ni jirani na kiwanda Cha Africab. Hivi viwanja Viko mjini Kabisa, unanunua na kujenga. Umbali wa Kutoka BAHARINI ni Km 1.5 0711677199/0744847199.

➡️Bei ni Milion 1.5 na Milion 1 Tu.
Vyote vina ukubwa sawa Futi 50 X 40. Utofauti wake, vya Milion 1.5 Viko juu na Milion 1 Viko chini Kidogo Mvua ikinyesha kubwa sana vina asili ya kukaa Maji.

⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme upo, maji ya DAWASA, shule ya msingi na sekondari hapohapo, hospital ipo n.k

⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara kama kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, kwa sababu ya wingi wa wafanyakazi wa Viwandani.

⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 33 , unapanda gari moja tu tokea Ferry, Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

Nyumba Inauzwa wateja Wangu sifa zake ni Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

Nyumba Zinapangishwa bado Mpyaa sifa zake Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada block 5 ukubwa sqm 700 bei milioni 35 kiwanja kimepimwa na kinao...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

MRADI MPYA KIGAMBONI KIMBIJI PUNA🔥🔥👉🏾UMBALI 30KM TOKA FERRY 👉🏾VIWANJA VIMEPIMWA/SURVEY APPROV...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYU...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

#NYUMBA INAUZWA LOCATION KIGAMBONI DAR ES SALAAM Tz 🇹🇿 📍 BEI MILIONI 160 MAONGEZI YAPO UKUBWA WA...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 56,000,000

#KIWANJA_KINAUZWA ______________#location_kigamboni_geza_ulole _______________Miundombinu Yake____ba...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

PLORT FOR SALE KIGAMBONI KISALAWE II __ENEO TAMBALALE SANA MIUNDOMBINU NIMIZULI SANA __UMEME MAJI B...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 300,000,000

#KIWANJA_KINAUZWA ______________#location_kigamboni_kibada _______________Miundombinu Yake____baraba...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Kikubwa Sana na jikoKodi 200k kwa mwezi Zipo...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

Nyumba inapangishwa sifa zake ni Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule na jiko ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 372,000,000

Viwanja vinauzwa Location \nGoba lastanza vipo viwili2 \n\nChakwanza Sqm 2,100 bei\n\n 252ml chapili...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA UNGINDONI __NYUMBA INAUZWA __NYUMBA INA VYUMBA V4 VYAKULALA VIWILI...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __INA VYUMBA V4 VYAKULALA VIWILI MASTER __SEBULE DINING J...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥HABARI NJEMA KWAAJILI YA WATEJA WETU WAVIWANJA VYA MAKAZI NJOO.M...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada📍Umbal wa kilometer 8 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia umbal wa...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

HOUSE FOR RENT AND FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __VYUMBA V2 VYAKULALA KIMOJA MASTER __SEBULE...