House for rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)
■location; Kigamboni, KIBADA CHEKECHEA
》Nyumba ina Vyumba TATU tu vya kulala, KIMOJA NI master, sebule na jiko (zuri,Safi)
✓ nyumba IPO ndani ya fensi, unajitegemea umeme na (maji bure), nyumba nzuri, mazingira mazuri Sana, nyumba haijakaliwa Sana,
》Jirani sana na barabara unaweza kutembea Tu, au kupanda boda buku Tu
note ●●NYUMBA BADO ZIPO KWENYE UJENZII ZITAKUWA KAMA MFANO WA RAMANII YETU APO MBELE “”SWIPE PICHA YA MBELE””
●Asking price; LAKI TANO TU (600,000k) per month + mwezi mmoja wa dalalikigambonikisiwani
Mawasiliano
>0757214079or
>0629802474
#appartments#realestate#gainwithxtiandela#gainwithbundi#gainwithmtaaraw#NguvuMoja#wasafitv#dalali_mfupi#dalali#gainparty #realestateagent#realestateinvesting